Picha ya siku ya kwanza Diamond Platnumz anakutana na Wema Sepetu ipo hapa
Inaaminika katika mapenzi au uhusiano wa kimapenzi uliowahi kuandikwa
sana kwenye mitandao na magazeti Tanzania, huu wa mwigizaji Wema Sepetu
na Diamond Platnumz umevunja rekodi, mastaa ambao walifikia mpaka
kuvalishana pete ya uchumba.
Ommy Dimpoz ambae ni rafiki wa Diamond kitambo hata kabla hatawa staa (Ommy) ameshea hii picha inayowaonyesha Wema na Diamond walipokutana kwa mara ya kwanza na kuiambatanisha na hii caption hapa chini

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni